Picha: Director Hascana amepost picha akiwa ametandaza mamilioni ya pesa,hii ni kutokana na ubora wa kazi yake
Baada ya kufanya vizuri kwenye video
mpya ya Vanessa Mdee & Barnaba- Siri,Director Hascana ameanza
kuonyesha cheche zinazoashiria kuwa kukaa kwake nyuma ya camera kumeanza
kuleta matunda.
Pia wiki
hii Director Hascana amefanya kazi ya kushoot video mpya ya star wa
muziki tz Diamond Platinumz ambayo wapo na Khadija Kopa ambayo
inatarajia kutoka hivi karibuni.Hizi ni picha za vibunda ambavyo
anamiliki Hascana kwa sasa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni